Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika muungano wa Ulaya. Cameron akiwa amejawa na…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Serengeti Boys Kuikaribisha Shelisheli Taifa
Timu ya soka ya Vijana ya Shelisheli, inatarajiwa kuwasili leo kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Serengeti Boys. Mchezo wa timu hizi mbili…
Continue Reading....Victor Wanyama Sasa Rasmi Kuichezea Tottenham
Kiungo na Nahodha wa Harambee stars Victor Wanyama amekamilisha rasmi uhamisho wake wa kwenda Tottenham akitokea Southampton kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 11.…
Continue Reading....Arsenal Kwa Vardy Ndio Basi Tena, Leicester Yampa Mkataba Mnono
Mshambuliaji wa Uingereza na Leicester Jamie Vardy amekubali kusaini Mkataba mpya na viongozi wa ligi ya Uingereza Leicester. Leicester imesema kuwa mchezaji huyo wa miaka…
Continue Reading....Rais Dk Magufuli Ahudhuria Maadhimisho ya Miaka 50 ya Benki Kuu Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Joseph Magufuli akizindua sarafu maalumu ya shilingi 50,000/- kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki…
Continue Reading....Chile Uso Kwa Uso na Argentina Fainali ya Copa America
Katika Copa Amerika timu ya Chile imeiambaratisha Colombia kwa kuifunga magoli 2-0 katika Nusu Fainali Alfajiri ya leo Uwanja wa Soldier Field mjini Chicago, Illinois,…
Continue Reading....