Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 44

Author: Yohana Chance

Italia Kuivaa Hispania Michuano ya Euro

Posted on: June 27, 2016 - Yohana Chance
Italia Kuivaa Hispania Michuano ya Euro

Michuano ya Euro 2016 itaendelea tena leo ambapo mabingwa wa zamani wa dunia Italia watapambana na miamba ya soka Uhispania huku mtanange mwingine ukiwa baina…

Continue Reading....

Chile Mabingwa Wapya Copa America

Posted on: June 27, 2016 - Yohana Chance
Chile Mabingwa Wapya Copa America

Michuano ya Copa America imefikia tamati leo hii kwa mabingwa watetezi Chile kuendeleza ubabe wake dhidi ya Vigogo wa soka duniani Argentina. Dakika 120 za…

Continue Reading....

Waziri Nape Aipongeza Serengeti Boys Kwa Ushindi

Posted on: June 26, 2016 - Yohana Chance
Waziri Nape Aipongeza Serengeti Boys Kwa Ushindi

Baada ya timu ya taifa ya Serengeti Boys kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Shelisheli katika mchezo wa kwanza wa raundi ya Kwanza…

Continue Reading....

Ufaransa Yatangulia Robo Fainali ya Michuano ya Euro

Posted on: June 26, 2016 - Yohana Chance
Ufaransa Yatangulia Robo Fainali ya Michuano ya Euro

Timu ya taifa ya Ufaransa wamefanikiwa kuifunga Jamhuri ya Ireland na kutinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo. Ireland walitangulia kupata bao na kuongoza…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Ateua Wakuu wa Wilaya 139

Posted on: June 26, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Ateua Wakuu wa Wilaya 139

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza majina ya Wakuu wapya wa Wilaya zote nchini 139 pamoja na mabadiliko ya wakuu wa Mikoa watatu uliofanywa…

Continue Reading....

Fujo za Mashabiki Waibonza Entente Setif

Posted on: June 24, 2016 - Yohana Chance
Fujo za Mashabiki Waibonza Entente Setif

Wawakilishi wa Algeria katika michuano ya kuwania ubingwa wa vilabu barani Afrika, Klabu ya Entente Setif wametupwa nje ya mashindano hayo na Shirikisho la soka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari