Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 41

Author: Yohana Chance

Ryan Giggs Ndio Basi Tena Manchester United

Posted on: July 2, 2016 - Yohana Chance
Ryan Giggs  Ndio Basi Tena Manchester United

Ryan Giggs amefikisha kikomo cha muda wake wa kuhudumu katika klabu ya Manchester United baada ya kukubali kuondoka kupitia makubaliano. United inatarajiwa kutoa taarifa rasmi…

Continue Reading....

Hii Serengeti Boys Si Mchezo,Yapiga Mtu 6

Posted on: July 2, 2016 - Yohana Chance
Hii Serengeti Boys Si Mchezo,Yapiga Mtu 6

TIMU ya taifa ya vijana ya Tanzaia chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeshinda mabao 6-0 dhidi ya Shelisheli katika mchezo wa marudiano…

Continue Reading....

Polis Arusha Waweka Mbinu Mbeya Kudhibiti Uharifu

Posted on: July 2, 2016 - Yohana Chance
Polis Arusha Waweka Mbinu Mbeya Kudhibiti Uharifu

Na; Magesa Magesa,Arusha POLISI mkoani hapa imesema bila ushirikiano madhubuti kutoka kwa wananchi katika kuimarisha ulinzi Jeshi la Polisi pekee haliwezi kutimiza hazma hiyo hivyo…

Continue Reading....

Ureno Yachapa Mtu Robo Fainali ya Euro

Posted on: July 1, 2016 - Yohana Chance
Ureno Yachapa Mtu Robo Fainali ya Euro

Ureno imetinga hatua ya nusu fainali katika michuano ya Euro inayoendelea nchini Ufaransa na kuwa nchi ya kwanza kufuzu katika hatua hiyo baada ya kuwafunga…

Continue Reading....

Zlatan Anakaribia Kutua Manchester United

Posted on: June 30, 2016 - Yohana Chance
Zlatan Anakaribia Kutua Manchester United

Mshambuliaji nyota kutoka Sweden Zlatan Ibrahimovicn anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake kujiunga an Manchester United wiki hii. Mchezaji huyo wa umri wa miaka 34, kwa sasa…

Continue Reading....

Serengeti Boys Ndani ya Pipa Kuelekea Shelisheli

Posted on: June 30, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Ndani ya Pipa Kuelekea Shelisheli

Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imeondoka leo jijini Dar es Salaam alfajiri ya saa 9 kuelekea Seychelles kwa ajili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari