Shirikisho la Mpira wa Miguu Rwanda (FERWAFA), limeahirisha mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya taifa ya wanawake ya Rwanda dhidi ya wageni,…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Kenya Yaipotezea Serengeti Boys, Yatimukia COSAFA
Timu ya Vijana ya Kenya, imefuta ziara yake ya kwenda Dar es Salaam kwa ajili kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya vijana wa…
Continue Reading....Kumbe Kunyonya Vidole Kuna Faida Kubwa Hivyo ?
Chanzo: bbcswahili.com Ripoti mpya inasema watoto wanaonyonya vidole au kung’ata kucha zao kwa meno huenda wasipate matatizo ya kuathirika kutokana na mazingira hewa au kula…
Continue Reading....Wabaya wa Yanga Kuwasili Alhamisi na Kikosi Kamili
Wapinzani wengine wa Young Africans, katika michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika, timu ya mpira wa miguu ya Medeama kutoka Ghana, itawasili Dar…
Continue Reading....Rais Dk Magufuli Azungumza na Wakurugenzi Wateule na Majaji
Rais Dk. John pombe Magufuli akiongea na wakurugenzi wateule wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji Ikulu jijini Dar es salaam Julay 12,2016 Baadhi ya Wakurugenzi…
Continue Reading....Wachezaji Wanaotarajiwa Kusajiliwa Msimu Huu
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anataka kumsajili beki wa Atletico Madrid, Lucas Hernandez, 20, kwa pauni milioni 20 (Sun), mshambuliaji kutoka Colombia, Marlon Moreno,…
Continue Reading....