Maandalizi ya ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga yamepamba moto, Borussia Dortmund yaelekea barani Asia kwa michezo ya kirafiki dhidi ya Manchester United na Manchester City…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Hii Vita ya Kumpata Nani Bora Huwa Haina Mwamuzi
Shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza majina ya wachezaji 10 watakaowania tuzo ya mchezaji bora Ulaya kwa msimu wa mwaka 2015/2016, majina hayo 10 yametangazwa…
Continue Reading....Soma Washindi wa Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara
BEKI wa Yanga, Juma Abdul Jaffar Mnyamani ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2015/2016. Katika sherehe za…
Continue Reading....Utamu wa Ligi Kuu Uhispania Umerejea Tena
Ligi kuu ya Hispania inatarajiwa kuanza Agosti 21 kwa Mabingwa Watetezi FC Barcelona kucheza na Real Betis na Mabingwa wa Ulaya Real Madrid kuanza na…
Continue Reading....FIFA Yazisaidia Vilabu Kupata Udhamini Mnono
Shirikisho la soka Ulimwenguni (FIFA) limetoa Ratiba ya Kombe la Dunia kwa Klabu ambalo litadhaminiwa na Alibaba E-Auto na kufanyika huko Japan kati ya Desemba…
Continue Reading....Demba Ba Avunjika Mguu, Matatani Kurudi Dimbani
Mshambulizi wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Demba Ba amevunjika mguu akiwa uwanjani katika mechi ya ligi kuu ya Uchina. Raia huyo wa…
Continue Reading....