Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ataamua ni safu gani ambayo Wayne Rooney atalichezea taifa lake, kulingana na mkufunzi mpya wa Uingereza Sam Allardyce. Rooney…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Klabu ya Arsenal Wabaniwa Kumnunua Alexandre
Klabu ya Lyon imekataa ombi la Euro milioni 35 kutoka Arsenal kumnunua mshambuliaji wa Ufaransa Alexandre Lacazette. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alifunga…
Continue Reading....Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Kochanke Asifu Teknolojia ya Jua
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Egon Kochanke (wapili kutoka kushoto) akipokea maelezo juu ya betri inayotumika kuhifadhia nishati ya jua kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa…
Continue Reading....Rais wa FIFA Aipendelea Bara la Afrika Kombe la Dunia
Bara la Afrika litapewa nafasi nyengine mbili zaidi iwapo ulimwengu wa dunia litaongeza idadi ya mataifa yanayoshiriki hadi 40 kuanzia mwaka 2026 kulingana na rais…
Continue Reading....Mkwasa Ataja Majeshi yake Yatakayoivaa Nigeria
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini Julai 30 kwa ajili ya kujiandaa na…
Continue Reading....Watanzania Wahimizwa Kudumisha Ushujaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amewasihi Watanzania kuwaenzi Mashujaa kwa kudumisha Amani, Umoja na Utulivu uliojengwa na mashujaa hao.…
Continue Reading....