Mmarekani Ginny Thrasher amekuwa mwanamichezo wa kwanza kushinda dhahabu katika Michezo ya Olimpiki Rio baada ya kutwaa ushindi katika shindano la kulenga shahaba kwa bunduki…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Azam Fc Wavuta Vifaa Vipya Kuimalisha Ulinzi
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo jioni imeingia mkataba na mabeki wawili, Mghana Daniel Amoah na Mzimbabwe, Bruce Kangwa, kwa ajili…
Continue Reading....Sherehe za Michuano ya Olimpiki Ndani ya Jiji la Rio Brazil
5.50am:Na mwenge wa Olympic uliowasili katika uwanja wa Mariccana unapokezwa aliyekuwa mwanariadha wa mbio za Marathon nchini Brazil Vanderlei Cordeiro de Lima – Ambaye anauwasha…
Continue Reading....Jeuri ya Fedha Yaanza Kutema cheche Msimbazi wavuta Mshambuliaji
SIKU chachea baada ya mfanyabiashara maarufu nchini na mwanachama wa Simba SC, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuichangia klabu hiyo shilingi milioni 100 za usajili, hatimaye wamefanikiwa…
Continue Reading....Ahmed Musa wa Leicester City Apiga Mbili mwenyewe Mbele ya Barcelona
Mchezaji ghali zaidi kununuliwa na Leicester City Ahmed Musa, aliyenunuliwa pauni milioni 16 na kuvunja rekodi ya klabu hiyo, amewafungia mabao yote mawili katika mechi…
Continue Reading....Masaa Machache Yasalia Kabla Pazi la Olimpiki Kufunguka
Mashindano ya Olimpiki mjini Rio kufunguliwa rasmi kesho Ijumaa, lakini hali bado haijakaa vizuri katika mazingira ya michezo hiyo. Vilabu mbali mbali barani Ulaya vinajiweka…
Continue Reading....