Wekundu wa Msimbazi Simba leo wamelazimishwa sare goli 1-1 kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya URA ya Uganda uliochezwa kwenye uwanja wa taifa…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Leicester City Waanza Ligi Kuu Uingereza Kwa Kichapo
Mabingwa watetezi wa Ligi ya England Leicester City wameanza msimu wa 2016/17 kwa kuchapwa ugenini na Hull City. Leicester wamechapwa 2-1, mabao ya Hull yakifungwa…
Continue Reading....Yanga Yaleta Matumaini kwa Kuifumua Mo Bejaia Taifa
YANGA SC imefufua matumaini ya kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kufuatia ushindi wa 1-0 jioni ya leo dhidi ya Mouloudia Olympique Bejaia…
Continue Reading....TGNP Kuhamasisha Wanawake Kupanda Mlima Kilimanjaro
Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali ya ActionAid Tanzania pamoja ana TGNP Mtandao na Wabia wake wameandaa Kongamano la Ardhi kwa wanawake wa Afrika, lijulikanalo kama wazo…
Continue Reading....Rais Magufuli Aagiza Dola Kuchungua Chama Kikuu Cha Ushirika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameviagiza vyombo vya dola kuchunguza na kuchukua hatua za kurejesha mali za Chama Kikuu…
Continue Reading....Yanga Bado Ngangali tu, Mo Bajaia Mbona Watakoma
KIINGILIO cha cnini katika mchezo wa marudiano Kundi A kombe la Shirikisho kati ya wenyeji, Yanga SC na Mo bejaia kitakuwa Sh 3,000 kwa majukwaa…
Continue Reading....