Mwenyekiti wa Bodi ya TPLB Yahya Hamad amesema kwa Bodi hiyo inapenda kutoa pongezi za jumla kwa uongozi imara wa nchi yetu, uliofanikisha kukamilisha uchaguzi…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Droo ya EUFA Kufanyika Leo Uswisi.
Hatma ya vilabu vya Uingereza katika Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya Itajulikana leo mara baada ya kufanyika kwa Droo hiyo mjini Uswisi. Mechi za raundi…
Continue Reading....TP Mazembe Watolewa Michuano ya Vilabu Dunia.
wawakilishi wa Afrika katika michuano ya kombe la Dunia la Vilabu iliyoanza Disemba 10 nchini Japani,Klabu ya PT Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
Continue Reading....The Game Atoa Somo Kwa Wanawake Weusi.
Siku ya jana, mwanamuziki The Game ameandika katika mtandao wake wa Instagram akiwaelimisha wanawake weusi jinsi ya kuishi na kujithamini kama mwanamke. Mwanamuziki huyo alisema…
Continue Reading....Droo Michuano ya Euro Kupangwa Leo Mjini Paris.
Droo ya makundi ya michuano ya Euro 2016 inatarajia kufanyika leo nchini Ufaransa katika jiji la Paris, Timu 24 zilizoingiaa katika michuano watakuwa wakisubili hatma…
Continue Reading....Toure Ashinda Tuzo ya BBC ya Mwanasoka Bora wa Afrika.
Yaya Toure Raia wa Ivory Coast ameshinda tuzo ya BBC ya mwanasoka bora wa Afrika kwa mwaka 2015, baada ya kuwashinda Yacine Brahimi, Pierre-Emerick Aubameyang,…
Continue Reading....