Klabu ya soka ya Leicester imeshinda tuzo ya timu bora ya mwaka kwa kuwashangaza wengi waliposhinda ligi ya Uingereza. The Foxes kama inavyojiita ilishinda tuzo…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Infano Awapigia Debe Urusi Kombe la Dunia
Rais wa FIFA Gianni Infantino amefuta uwezekano wa kuipokonya Urusi kibali cha kuandaa Dimba la Kombe la Dunia 2018 kufuatia matokeo ya karibuni ya ripoti…
Continue Reading....KCB Yatoa Msaada wa Milioni 48 Kwenye Ujenzi
Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha TFA Hogla Laizer (kulia) akikabidhi Msaada wa hundi ya shilingi milioni 48 kwa mkurugenzi wa shirika la…
Continue Reading....TFF Yaweka Masharti Ligi Kuu Bongo
Duru la Pili la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi Desemba 17 kwa michezo minne kabla ya michezo mingine minne kufanyika…
Continue Reading....Oscar Kuwapiku Mesi, Ronaldo Kimpunga
Mchezaji wa Chelsea Oscar anatarajiwa kuwa mchezaji soka anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani atakapohamia Ligi Kuu ya Uchina mwezi Januari. Shanghai SIPG wanatarajiwa kulipa £60m…
Continue Reading....Prof. Mgaya Ateuliwa Kuwa Mkurugenzi Mkuu NIMR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 17 Desemba, 2016 amemteua Prof. Yunus D. Mgaya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa…
Continue Reading....