Klabu ya Arsenal wamefanikiwa kukaa kileleni mwa ligi ya England kwa pointi 39 baada ya kuichapa Bournemouth kwa mabao 2-0 na kiuacha Leicester City Nyuma…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Viwanja Nane Kuwaka Moto Leo Ligi Kuu ya Uingereza
Mwishoni mwa wiki Meneja wa Timu ya Liverpool urgen Klopp alikaliliwa akilalamiki akuwepo kwa mfululizo wa mechi wakati wa Krismasi hadi kuingia Mwaka Mpya ya…
Continue Reading....Janet Jackson Kufanyiwa Upasuaji,aahirisha ziara Zake
Mwanamuziki na nyota kutoka Marekani Janet Jackson ameahirisha ziara yake ya kimuziki ya Unbreakable ili kufanyiwa upasuaji. Jackson amesema madaktari wake wamemwambia anahitaji kufanyiwa upasuaji…
Continue Reading....Van Gaal Kujiuzulu Manchester United Wiki Hii
Kocha wa Manchester United Louis van Gaal amesema kuwa anaweza “kujiuzulu mwenyewe” baada ya Stoke City kuwapiga magoli 2-0 katika kichapo chao cha nne mfululizo…
Continue Reading....Asenal wavizia Saini Ya Chicharito
Klabu ya Arsenal kwa sasa wanaiwinda kwa hali na mali saini ya mchezaji wa zamani wa timu ya Manchester United na Real Madrid Javier Hernandez…
Continue Reading....Simba Yabanwa na Mwadui Shinyanga
Ligi kuu Tanzania bara iliendelea tena jana kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja tofauti na kushuhudia matokeo tofauti katika viwanja hivyo kwa baadhi ya timu…
Continue Reading....