MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba anaunga mkono klabu kuingia katika mfumo wa kuuza hisa. Poppe amesema pia…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Rooney Avunja Rekodi ya Ufungaji, Atwaa Tuzo Uingereza
Mchezaji wa Manchester Wayne Rooney ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa 2015 akitetea tena Tuzo ambayo pia aliizoa mwaka 2014.Hii ni mara ya…
Continue Reading....Samatta Atarajia Kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta leo hii anatarajia kuwasili nchini Nigeria kwenye sherehe…
Continue Reading....Yanga Yatolewa Jasho na Azam Fc Mapinduzi Cup
Mabingwa wa Tanzania Bara Timu ya Yanga imetoshana nguvu na Azam FC, kufuatia sare ya bao 1-1 katika Mechi ya Kundi B kwenye michuano ya…
Continue Reading....Liverpool Yanukia Fainali Capital One Baada Ya Kuifunga Stoke City
Timu ya Liverpool hapo jana ilifanikiwa kuifunga stoke city bao 1-0 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya Nusu fainali ya michuano ya Capital One…
Continue Reading....Chriss Brown Achunguzwa Kwa Kumdunda Mwanamke
Polisi katika jiji la Las Vegas, Marekani wanachunguza madai kwamba mwanamuziki mashuhuri wa R&B Chris Brown alimpiga mwanamke Mwishoni mwa wikii. Mwanamke huyo ambaye jina…
Continue Reading....