Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 180

Author: Yohana Chance

Ligi Kuu Tanzania Bara Kuendelea Mwishoni Mwa Wiki

Posted on: January 15, 2016January 16, 2016 - Yohana Chance
Ligi Kuu Tanzania Bara Kuendelea Mwishoni Mwa Wiki

Baada ya kusimama kwa wiki mbili kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania mzunguko wa kumi na nne (14)…

Continue Reading....

Real Madrid, Atletico Wapigwa Stop Kuingia Sokoni

Posted on: January 15, 2016 - Yohana Chance
Real Madrid, Atletico Wapigwa Stop Kuingia Sokoni

Miamba wa Uhispania Real Madrid na Atletico Madrid wamepigwa marufuku kutonunua wachezaji wapya sokoni vipindi viwili. Klabu hizo zimeadhibiwa na shirikisho la soka duniani Fifa…

Continue Reading....

Kivumbi CHAN Kuanza Leo Rwanda

Posted on: January 15, 2016January 16, 2016 - Yohana Chance
Kivumbi CHAN Kuanza Leo Rwanda

Michuano ya nne ya kombe la chan kwa 2016 yataanza kutimua vumbi kesho huko nchi Rwanda. Michuano hii ya Chan inashirikisha wachezaji wanaocheza ligi za…

Continue Reading....

Nyota ya Samatta Yaendelea Kung’ara

Posted on: January 14, 2016 - Yohana Chance
Nyota ya Samatta Yaendelea Kung’ara

Mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa nyumbani Mbwana Samatta amekabidhiwa sehemu ya ardhi na serikali ya Tanzania kufuatia uhodari wake uliomwezesha kuondoka na tuzo…

Continue Reading....

Baada ya Sare Kutawala EPL, Cheki Usajili Unavyofanyika Kwa Kasi

Posted on: January 14, 2016 - Yohana Chance
Baada ya Sare Kutawala EPL, Cheki Usajili Unavyofanyika Kwa Kasi

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha kwamba klabu hiyo imemnunua kiungo wa kati wa FC Basel Mohamed Elneny. Mchezaji huyo anaweza kuwachezea dhidi ya Stoke…

Continue Reading....

Sare Zatawala Ligi Kuu ya Uingereza, Liverpool Yaibania Arsenal

Posted on: January 14, 2016 - Yohana Chance
Sare Zatawala Ligi Kuu ya Uingereza, Liverpool Yaibania Arsenal

Majogoo wa Anfield Liverpool wakiwa katika dimba lao walifunga bao la dakika za mwisho na kulazimisha sare mechi kati yao na Arsenal, huku Chelsea na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari