Manchester United wamekanusha habari kwamba walikutana na kuzungumza na meneja wa Bayern Munich Pep Guardiola kuhusu uwezekano wake kuwa meneja wao. Tovuti ya France Football…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Mascherano Ajisalimisha Mahakamni ili Asitupwe Jela
Beki wa klabu ya Barcelona na Argentina Javier Mascherano amefika mahakamani kujaribu kuzuia asitupwe jela kwa kosa la ulaghai katika ulipaji ushuru. Anadaiwa kutumia ulaghai…
Continue Reading....Yanga SC Yamrudisha Niyonzima Kundini, Akiri Alifanya Kosa
Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ambaye mkataba wake na klabu hiyo ulivunjwa kutokana na makosa ya kinidhamu ya nahodha huyo wa Rwanda, Jana ameanza rasmi…
Continue Reading....Rais wa TFF Atoa Salamu za Rambirambi Kwa Timu ya Prisons ya Mbeya
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za rambi rambi kwa klabu ya Tanzania Prisons inayoshiriki Ligi Kuu ya…
Continue Reading....Simba SC Kukipiga Jamuhuri Leo FA Cup, Yanga Kutua Mwanza Kesho
Mzunguko wa tatu wa michuano wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) unatarajiwa kuendelea wikiendi hii mpaka katikati ya juma lijalo kwa michezo 13…
Continue Reading....Ashanti Yatupwa Nje Michuano y FA kwa Kuchezesha Mamluki
Kikao cha Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichoketi juzi na kupitia taarifa mbalimbali za michezo ya Kombe la Shirikisho…
Continue Reading....