Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 170

Author: Yohana Chance

Mashabiki Wa Manchester United Wawazomea Wachezaji Baada ya Kichapo cha Southampton

Posted on: January 24, 2016January 24, 2016 - Yohana Chance
Mashabiki Wa Manchester United Wawazomea Wachezaji Baada ya Kichapo cha Southampton

Klabu ya Manchester United imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani baada ya kujikuta ikigaragazwa kwa bao 1-0 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa ligi…

Continue Reading....

Uganda Yaambulia Pointi Moja Michuano ya CHAN

Posted on: January 24, 2016 - Yohana Chance
Uganda Yaambulia Pointi Moja Michuano ya CHAN

Mali imepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Zimbabwe katika kundi lao mechi iliyochezwa mjini Rubavu. Goli hilo lilipatikana kunako dakika ya 82 na kufungwa…

Continue Reading....

Hizi ndizo Sababu za Kujiuzuru Katibu Mkuu Wa Yanga

Posted on: January 24, 2016 - Yohana Chance
Hizi ndizo Sababu za Kujiuzuru Katibu Mkuu Wa Yanga

KATIBU Mkuu wa Yanga SC, Dk. Jonas Tiboroha amejiuzulu na tayari amewasilisha barua kwa Mwenyekiti, Yussuf Mehboob Manji. Tiboroha asema kwamba amechukua uamuzi huo ilia…

Continue Reading....

Rais Magufuli Asema Atatumia Jeshi Kujenga Uchumi Wa Tanzania

Posted on: January 23, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Asema Atatumia Jeshi Kujenga Uchumi Wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunga “Zoezi la Onesha Uwezo Medani” lililoandaliwa na kutekelezwa na Kamandi ya Jeshi la…

Continue Reading....

Mariah Carey Apata Mchumba Bilionea wa Australia

Posted on: January 23, 2016 - Yohana Chance
Mariah Carey Apata Mchumba Bilionea wa Australia

Mwanamuziki na nyota wa muziki aina ya pop Mariah Carey amempata mchumba. Imefahamu kwamba mwanamuziki huyo kutoka Marekani ana uchumba na bilionea kutoka Australia James…

Continue Reading....

Michuano ya CHAN Yaendelea Kushika Kasi Nchini Rwanda

Posted on: January 23, 2016 - Yohana Chance
Michuano ya CHAN Yaendelea Kushika Kasi Nchini Rwanda

Mechi za mzunguko wa pili Kundi C katika michuano ya kombe la taifa bingwa Afrika CHAN kwa wachezaji wa ligi za ndani zimemalizika kwa klabu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari