Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 168

Author: Yohana Chance

Ramires Atimukia China, Drogba Abaniwa Kurejea Chelsea

Posted on: January 26, 2016 - Yohana Chance
Ramires Atimukia China, Drogba Abaniwa Kurejea Chelsea

Kiungo wa kimataifa wa Brazil na klabu ya soka Chelsea Ramires Santos do Nascimento anakaribia kujiunga na timu ya Jiangsu Suning ya China. Kiungo huyu…

Continue Reading....

Wimbo Wa Adele Watazamwa Mara Bilioni You Tube

Posted on: January 26, 2016 - Yohana Chance
Wimbo Wa Adele Watazamwa Mara Bilioni You Tube

Wimbo wa mwanamuziki Mwingereza Adele umevunja rekodi nyingine kwa kutazamwa mara bilioni moja haraka zaidi katika YouTube. Video ya wimbo huo, Hello, imetazamwa mara bilioni…

Continue Reading....

IFAB Kuanza na Teknolojia Mpya Msimu Ujao wa Soka

Posted on: January 26, 2016 - Yohana Chance
IFAB Kuanza na Teknolojia Mpya Msimu Ujao wa Soka

Teknolojia ya video huenda ikafanyiwa majaribio msimu ujao katika ligi kuu za soka za baadhi ya nchi baada ya uamuzi wa Bodi ya Shirikisho la…

Continue Reading....

Kocha Wa Arsenal, Asene Wenger Adai Chelsea Ilibebwa

Posted on: January 25, 2016January 25, 2016 - Yohana Chance
Kocha Wa Arsenal, Asene Wenger Adai Chelsea Ilibebwa

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea walipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Arsenal wakiwa ugenini. Arsenal walicheza mchezo huu wakiwa pungufu baada…

Continue Reading....

Baraka Deusdedit Katibu Mpya Yanga, Frank Chacha Apigwa Chini

Posted on: January 25, 2016 - Yohana Chance
Baraka Deusdedit Katibu Mpya Yanga, Frank Chacha Apigwa Chini

Uongozi wa klabu ya Yanga umefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi kwenye klabu hiyo mara baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga kubwaga manyanga. Mwenyekiti…

Continue Reading....

Rwanda Yaambulia Kichapo Cha Kwanza Michuano ya CHAN

Posted on: January 25, 2016 - Yohana Chance
Rwanda Yaambulia Kichapo Cha Kwanza Michuano ya CHAN

Mashindano ya kuwania kombe la Afrika kwa wachezaji wa ligi za nyumbani CHAN yaliendelea kutifua vumbi nchini Rwanda, wenyeji wakichapwa 4-1 na Morocco jana Jumapili.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari