Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 166

Author: Yohana Chance

Liverpool Yatinga Fainali Kombe La Capital One

Posted on: January 27, 2016 - Yohana Chance
Liverpool Yatinga Fainali Kombe La Capital One

Timu ya Liverpool Wakicheza katika uwanja wao wa Anfield imeshinda mchezo wa nusu fainali ya pili ya kombe la Capital na dhidi ya Stoke na…

Continue Reading....

Klabu ya Leicester City Kupeleka Tena ofa Kwa CSKA Moscow, ili Kumnasa Ahmed Musa

Posted on: January 27, 2016 - Yohana Chance
Klabu ya Leicester City Kupeleka Tena ofa Kwa CSKA Moscow, ili Kumnasa Ahmed Musa

Viongozi wa ligi ya Uingereza Leicester bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa Nigeria Ahmed Musa licha ya ombi lao la hapo awali kukataliwa na kilabu ya…

Continue Reading....

Timu ya Azam Yatimukia Zambia, Michizo yake Yapigwa Kalenda

Posted on: January 27, 2016 - Yohana Chance
Timu ya Azam Yatimukia Zambia, Michizo yake Yapigwa Kalenda

MECHI mbili za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara za Azam FC zimefutwa na zitapangiwa tarehe nyingine ya kufanyika. Mechi hizo ni dhidi ya Prisons…

Continue Reading....

Bosi wa TP Mazembe Akubali Kumwachia Samatta

Posted on: January 27, 2016 - Yohana Chance
Bosi wa TP Mazembe Akubali Kumwachia Samatta

Moise Katumbi Chapwe, Rais wa klabu ya TP Mazembe ya DRC amekubali mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ajiunge na KRC Genk ya…

Continue Reading....

Pierre Aubameyanga Amtolea Uvivu Yaya Toure

Posted on: January 27, 2016 - Yohana Chance
Pierre Aubameyanga Amtolea Uvivu Yaya Toure

Nyota wa Afrika Pierre Emerick Aubameyang amesema kuwa alihisi uchungu baada ya Yaya Toure kusema kwamba ‘sio heshima’ kwa yeye kutunukiwa tuzo ya mchezaji bora…

Continue Reading....

Duu! Kweli Dunia Ina Mambo Kiazi Chauzwa Dola Milioni Moja

Posted on: January 27, 2016 - Yohana Chance
Duu! Kweli Dunia Ina Mambo Kiazi Chauzwa Dola Milioni Moja

Chakula ni chakula tu na Sio jambo la ajabu kutamani kula viazi hususan baada ya kubugia glasi kadha ya mvinyo. Iwe ni viazi karai ,viazi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari