Klabu ya soka ya Manchester United, watajitupa ugenini katika dimba la iPro kuwakabili Derby County, katika hatua ya nne ya kombe la FA. Man United…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Michael Jackson Apata Mrithi Wa Kazi Zake
Muigizaji wa filamu kutoka nchini Uingereza Joseph Fiennes, amekiri kuwa alishangazwa na kitendo cha kumuigiza mfalme wa muziki aina ya POP, Michael Jackson katika mchezo…
Continue Reading....Manchester City Yapata Pigo, Bruyne nje Wiki Sita
Kiungo wa Manchester City, Kevin de Bruyne, atakua nje ya dimba kwa muda wa wiki sita baada ya kuumia goti siku ya Jumatano. De Bruyne…
Continue Reading....Shule ya Lowassa Yanusurika Kuteketea Kwa Moto
Bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari ya Edward Lowasa iliyopo wilayani Monduli mkoani Arusha limeteketea kwa moto na wanafunzi zaidi ya 70 wa kidato…
Continue Reading....Watu 30 Wanusurika Kufa Maji Mkoani Morogoro
Kivuko cha Mto Kilombero Mkoani Morogoro Kimezama kikiwa na abiria zaidi ya 30 na magari matatu. Mkuu wa wilaya ya Kilombero , Bw Leph Gembe…
Continue Reading....Suarez, Pique na Neymer Waipeleka Barcelona Nusu Fainali
Mabingwa watetezi wa kombe la Mfalme Barcelona wamesonga mbele kwenye hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Barcelona waliwachapa Athletic Bilbao kwa mabao 3-1 kwa…
Continue Reading....