MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amefunga bao lake la kwanza katika klabu yake mpya, KRC Genk katika mchezo wa Ligi Kuu ya…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Simba Yagawa Dozi na Kuifuata Yanga Robo Fainali Michuano ya FA
SIMBA SC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation baada ya…
Continue Reading....Rais Magufuli Awasili Arusha Kuongoza Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Afrika Mshariki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda mara baada ya…
Continue Reading....Baraza la Madiwani wa Halamshauri ya Manispaa ya Moshi Wakutana na Kujadili Mustakabali wa Maendeleo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jesh Lupembe akizungumza katika kikao cha baraza la Madiwani wa Halamshauri hiyo Baadhi ya watendaji wa Halmashari ya Manispaa…
Continue Reading....Ligi ya Ujerumani : Marefa na makocha Wagongana Kauli
Bruno Labaddia na Thomas Schaaf wote wanatumai kuwa kunaweza kuwa na mawasiliano bora baina ya makocha waBundesliga na marefa kutokana na hatua ya kupigwa marufuku…
Continue Reading....Chelsea Yapeta Ligi Kuu Uingereza Yaisambaratisha Southamptom 2-1
Timu ya Chelsea Imefanikiwa kupata ushindi wa Mabao 2-1 katika mwendelezo wa ligi kuu ya Uingereza, baada ya kutoka nyuma kwa bao la mapema la…
Continue Reading....