Meneja wa Arsenal amesema kuwa wachezaji wake hawana budi kusahau kichapo cha Manchester United na kuganga ya Swansea. Mkufunzi wa klabu hicho Arsene Wenger anasema…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Rais wa Bayern Uli Hoeness Aachiliwa Huru Kutoka Jela
Rais wa zamani wa Bayern Munich Uli Hoeness hatimaye yuko huru. Ameachiliwa huru kutoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miezi 21 kwa makosa ya…
Continue Reading....Virusi vya Zika Kikwazo Maandalizi ya Mashindano ya Olimpiki
Zikiwa imebakia miezi mitano kabla ya kuandaliwa mashindano ya Olimpiki mjini Rio de Janeiro nchini Brazil, changamoto zinaendelea kurundikana Kutoka kwa mlipuko wa virusi vya…
Continue Reading....Manchester City Mabingwa Wapya Kombe la Capital One
Klabu ya Manchester City wameshinda Kombe la Capital One baada ya kuwashinda Liverpool kwenye fainali kupitia mikwaju ya penalti. Willy Caballero ndiye aliyekuwa shujaa wa…
Continue Reading....Kilimanjaro Marathoni Ilivyotakatisha Mkoa Wa Kilimanjaro
mashindano ya Riadha Maarufu kama Kilimanjaro Marathoni yalitimua vumbi mkoani Kilimanjaro mwishoni mwa wiki huku Waziri Mwenye dhamana ya Michezo Nape Nnauye Akiwa Mgeni Rasmi…
Continue Reading....Dogo Wa Mashetani Atupia Mbili na Kuwatuliza Arsenal Ndani ya Old Trafford
Timu ya Arsenal imepoteza hesabu za kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya uingereza msimu huu baada ya kukubali kichapo cha Mabao 3-2 dhidi ya Manchester…
Continue Reading....