Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 133

Author: Yohana Chance

Rais Magufuli Akutana na Rais wa Uganda Ikulu Ndogo Jijini Arusha

Posted on: March 2, 2016March 2, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Akutana na Rais wa Uganda Ikulu Ndogo Jijini Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na akifafanua jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kukutana na…

Continue Reading....

Unatumiaje Muda Wako Baada ya Kazi?

Posted on: March 1, 2016 - Yohana Chance
Unatumiaje Muda Wako Baada ya Kazi?

Na Ferdinand Shayo Watu wengi hutumia muda wao baada ya kazi kukaa na marafiki,makundi rika na wengine hufanya mambo ambayo huwazuia kuzifikia ndoto zao. Wengine…

Continue Reading....

Wizara ya Michezo Yatoa Sapoti Kwa Twiga Stars Kuelekea Mchezo wa Ijumaa

Posted on: March 1, 2016 - Yohana Chance
Wizara ya Michezo Yatoa Sapoti Kwa Twiga Stars Kuelekea Mchezo wa Ijumaa

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa motisha kwa wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu wanawake (Twiga Stars) wakishinda…

Continue Reading....

TFF Yatangaza Viingilio vya Mchezo wa Twiga Stars dhidi ya Zimbabwe

Posted on: March 1, 2016March 1, 2016 - Yohana Chance
TFF Yatangaza Viingilio vya Mchezo wa Twiga Stars dhidi ya Zimbabwe

Kiingilio cha chini cha mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika kwa Wanawake kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Taifa…

Continue Reading....

Hivi ndivyo Jeshi la Polisi Arusha Lilivyokabiliana na Majambazi

Posted on: March 1, 2016 - Yohana Chance
Hivi ndivyo Jeshi la Polisi Arusha Lilivyokabiliana na Majambazi

Na; Kiongozigod Watu watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuwawa kwa kupigwa risasi na askari polisi katika eneo la Engosheraton mkoani Arusha. Kamanda wa jeshi la polisi…

Continue Reading....

Azamu Yaisambaratisha Panone Fc na Kutinga Robo Fainali FA CUP

Posted on: March 1, 2016 - Yohana Chance
Azamu Yaisambaratisha Panone Fc na Kutinga Robo Fainali FA CUP

Na; Binzubeiry.co.tz AZAM FC imekamilisha idadi ya timu nane za kucheza Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari