Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 130

Author: Yohana Chance

Twiga Stars Hoi yalazwa na Wazimbabwe 2-1, Kocha Ajitetea

Posted on: March 5, 2016 - Yohana Chance
Twiga Stars Hoi yalazwa na Wazimbabwe 2-1, Kocha Ajitetea

Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania maarufu Twiga Stars imelazwa na Zimbabwe kwenye mechi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika…

Continue Reading....

Ripoti ya Madaktari Yabaini Chanzo Cha Kifo Cha Mtoto wa Whitney Houston

Posted on: March 5, 2016 - Yohana Chance
Ripoti ya Madaktari Yabaini Chanzo Cha Kifo Cha Mtoto wa Whitney Houston

Mtoto wa mwimbaji maarufu marehemu Whitney Houston alifariki baada ya kuzama majini pamoja na ulevi wa dawa za kulevya ,ripoti ya matibabu imebaini. Marehemu Bobbi…

Continue Reading....

Simba Sc Kuwavaa Wagosi wa Kaya Coastal Union Robo Fainali FA CUP

Posted on: March 4, 2016 - Yohana Chance
Simba Sc Kuwavaa Wagosi wa Kaya Coastal Union Robo Fainali FA CUP

Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa wikiendi ya mwisho wa mwezi Machi mwaka huu, huku timu nane…

Continue Reading....

Tanzania Yashika nafasi ya 125 Viwango vya FIFA

Posted on: March 4, 2016 - Yohana Chance
Tanzania Yashika nafasi ya 125 Viwango vya FIFA

Nchi ya Cape Verde wametua kileleni mwa orodha ya Fifa ya uchezaji kandanda barani Afrika ya mwezi huu wa tatu. Huo ni ufanisi mkubwa kwa…

Continue Reading....

Petr Cech Kukosekana Kesho Arsenal Watakapoivaa Spurs

Posted on: March 4, 2016March 4, 2016 - Yohana Chance
Petr Cech Kukosekana Kesho Arsenal Watakapoivaa Spurs

Klabu ya Arsenal watamkosa golikipa namba moja wao Petr Cech katika mechi kali dhidi ya mahasimu wao wa London Tottenham Hotspur uwanjani White Hart Lane…

Continue Reading....

Kikos cha Twiga Stars Kimeiva, Kuivaa Zimbabwe Leo

Posted on: March 4, 2016March 4, 2016 - Yohana Chance
Kikos cha Twiga Stars Kimeiva, Kuivaa Zimbabwe Leo

Kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars), jana kimefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili timu ya Taifa ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari