Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 129

Author: Yohana Chance

Wakimbizi Wapigiwa Upatu na OIC Mashindano ya Olimpiki

Posted on: March 6, 2016 - Yohana Chance
Wakimbizi Wapigiwa Upatu na OIC Mashindano ya Olimpiki

Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki – IOC Thomas Bach amesema timu hiyo ambayo iliidhinishwa rasmi na kamati kuu ya IOC na kupewa jina…

Continue Reading....

Azam yatoana Jasho na Yanga Taifa, Simba Yachekelea Sare Yao

Posted on: March 5, 2016March 5, 2016 - Yohana Chance
Azam yatoana Jasho na Yanga Taifa, Simba Yachekelea Sare Yao

Na; shaffihdauda.com Mchezo wa marudiano wa raundi ya pili wa ligi kuu kati ya Azam FC ambao ndiyo walikuwa wenyeji wa mchezo huo umemalizika kwa…

Continue Reading....

Kweli Mwaka wa Shetani Arsenal Wabaniwa na Spurs Watoa Sare

Posted on: March 5, 2016 - Yohana Chance
Kweli Mwaka wa Shetani Arsenal Wabaniwa na Spurs Watoa Sare

Klabu ya Tottenham imetoshana nguvu ya mabao 2-2 na Arsenal katika debi ya london inayowavutia wengi huku timu zote mbili zikiwa miogoni mwa timu tatau…

Continue Reading....

Ratiba Kamili ya Ligi Kuu ya Uingereza Wiki end Hii, yote Inapatikana Hapa

Posted on: March 5, 2016March 5, 2016 - Yohana Chance
Ratiba Kamili ya Ligi Kuu ya Uingereza Wiki end Hii, yote Inapatikana Hapa

Kiungo wa kati wa Tottenham Mousa Dembele atashiriki katika mechi dhidi ya Arsenal baada ya kukosa mechi mbili akiuguza jeraha . Mchezaji Dele Ali aidha…

Continue Reading....

Ripoti Juu ya Rushwa FIFA Bado Ngoma Nzito Kwa Wajerumani

Posted on: March 5, 2016 - Yohana Chance
Ripoti Juu ya Rushwa FIFA Bado Ngoma Nzito Kwa Wajerumani

Ripoti ya uchunguzi ulioanzishwa kuhusiana na tuhuma kuwa Ujerumani ilinunua kura za kupewa kibali cha kuandaa Kombe la Dunia la FIFA 2006 imesema kuwa haiwezi…

Continue Reading....

Usipime Hii imekaa Vibaya lazima Mmoja Akae Borussia Dortmund na Bayern

Posted on: March 5, 2016 - Yohana Chance
Usipime Hii imekaa Vibaya lazima Mmoja Akae Borussia Dortmund na Bayern

Timu kubwa za Ujerumani vitashuka dimbani huku wenyeji Borussia Dortmund wakilenga kuongeza moto katika kinyang’anyiro cha taji la Bundesliga kwa kupunguza hata zaidi pengo kati…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari