Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 124

Author: Yohana Chance

Simba SC Imelejea Kileleni Mwa Ligi Kuu Tanzania Bara Baada ya Ushindi wa Leo

Posted on: March 10, 2016March 10, 2016 - Yohana Chance
Simba SC Imelejea Kileleni Mwa Ligi Kuu Tanzania Bara Baada ya Ushindi wa Leo

Na; binzubeiry.co.tz Klabu ya Simba SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 3-0 jioni ya leo dhidi ya…

Continue Reading....

Eboue Aibukia Sunderland Akitokea Gatasalay ya Uturuki

Posted on: March 10, 2016 - Yohana Chance
Eboue Aibukia Sunderland Akitokea Gatasalay ya Uturuki

Beki wa zamani wa Arsenal Emmanuel Eboue, amejiunga na timu ya Sunderland inayoshiriki ligi kuu ya England. Eboue, mwenye mwenye miaka 32, alikuwa mchezaji huru…

Continue Reading....

Ni Mechi ya Kisasi kati ya Liverpool na Manchester United EUROPA Ligi Leo

Posted on: March 10, 2016March 10, 2016 - Yohana Chance
Ni Mechi ya Kisasi kati ya Liverpool na Manchester United EUROPA Ligi Leo

Meneja wa timu ya Liverpool Jurgen Klopp ameitaja mechi ya leo Alhamisi ya kombe la Europa kati ya Liverpool na Manchster United kuwa mechi kubwa…

Continue Reading....

Chelsea Yatupwa nje Michuano ya UEFA Baada ya Kuchapwa na PSG

Posted on: March 10, 2016 - Yohana Chance
Chelsea Yatupwa nje Michuano ya UEFA Baada ya Kuchapwa na PSG

Klabu ya PSG imezima ndoto za Chelsea kusonga mbele kwenye michuano ya mabingwa Ulaya kwa mara nyingine baada ya Zlatan Ibrahimovich kuifungia bao la ushindi…

Continue Reading....

Yanga Yakwea Pipa Kuelekea Rwanda Kuikabili APR Ligi ya Mabingwa

Posted on: March 10, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yakwea Pipa Kuelekea Rwanda Kuikabili APR Ligi ya Mabingwa

Na; binzubeiry.co.tz YANGA SC inapanda ndege leo kwenda Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza, Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi…

Continue Reading....

Simba Kushuka Dimbani Leo, Kagera Sugar Wabaniwa na Prison

Posted on: March 10, 2016 - Yohana Chance
Simba Kushuka Dimbani Leo, Kagera Sugar Wabaniwa na Prison

BAO pekee la mshambuliaji Ally Ahmed ‘Shiboli’ jana limeipa ushindi wa 1-0 Coastal Union dhidi ya ndugu zao, Mgambo JKT katika mchezo wa Ligi Kuu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari