Meneja wa Klabu ya Arsena Mzee Arsene Wenger amesema kuwa aliwaacha mastaa wake wengi wa Kikosi cha kwanza Jumapili, Wakati timu hiyo ilipocheza na dhidi…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Ligi Kuu ya Vodacom Kuendelea Leo
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa mchezo mmoja, ambapo Azam FC watawakaribisha Stand United katika uwanja wa Azam Complex Chamazi.…
Continue Reading....Manchester City, Atletico Zatinga Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya
Jana usiku ligi ya Mabingwa ulaya iliendelea kwa micheozo miwili kupigwa ambapo Manchester City walikuwa wakicheza na Dynamo Kiev, mchezo wa marudiano hatua ya 16…
Continue Reading....Huu Mziki wa Leicester City Hakuna wa Kuuzima EPL, Wavunja Rekodi ya Benitez
Leicester City wamepanua wigo wa uongozi wao kileleni mwa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kupata ushindi dhidi ya Newcastle. Lecester walilaza Newcastle, waliokuwa wakicheza…
Continue Reading....Zlatan Kutimukia Marekani Akifuata Njia za Kina Henry na Beckham
Mshambuliaji matata kutoka Sweden Zlatan Ibrahimovic amesema kwamba kuna uwezekano mkubwa kwake kuondoka Paris St-Germain majira ya joto yajayo. Hii ni baada yake kuwasaidia kutwaa…
Continue Reading....Wenger Awashutumu Mashabiki Wanaotaka Aondoke
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema mjadala unaotokea kila mara kuhusu hatima yake katika klabu hiyo “umeanza kuwa upuuzi”. Mfaransa huyo alikuwa akizungumza baada ya…
Continue Reading....