Michuano ya Europa League imeendelea tena usiku wa kuamkia leo kwa michezo minane ambapo Liverpool wametinga robo fainali baada ya kutoka sare ya 1-1 na…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Mwanamuzi wa Nyimbo za Injili Malawi Afariki Dunia
Mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za Injili nchini Malawi Grace Chinga amefariki. Rafiki wa karibu wa familia yake, Pasta Chris Suya, amenukuliwa na gazeti la gazeti…
Continue Reading....Kuwaona Yanga Dhidi ya APR ni Buku Tano
TIKETI za mchezo wa marudiano Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya wenyeji, Yanga SC na APR ya Rwanda zitaanza kuuzwa siku ya…
Continue Reading....Uongozi wa Simba Wamdondoshea Isihaka Kombola
Klabu ya Simba imemvua umakamu nahodha beki wake wa kati Hassan Isihaka kutokana na kitendo chake cha utovu wa nidhamu kwa kocha wa klabu hiyo…
Continue Reading....Usingizi Wamponza Nicklas Bendtner Apigwa Faini
Mshambuliaji wa Wolfsburg Nicklas Bendtner amepigwa faini baada ya kuchelewa kufika mazoezini kwa sababu ya usingizi. Bendtner, ambaye aliwahi kuichezea Arsenal ya Uingereza, alichelewa kwa…
Continue Reading....Azam Fc Mdogo Mdogo Kulifuta Kombe la Ligi Kuu Tanzania Bara
Azam FC imeutumia vyema mchezo wake wa kiporo kwa kuichapa Stand United ya Shinyanga kwa bao 1-0 kwenye mchezo pekee wa ligi uliosukumwa kwenye uwanjawa…
Continue Reading....