Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 116

Author: Yohana Chance

Mashabiki Waziponza Manchester United na Liverpool

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Mashabiki  Waziponza Manchester United na Liverpool

Klabu za Manchester United na Liverpool zimeshtakiwa na Uefa kufuatia fujo za mashabiki wakati wa mechi ya marudiano ya Europa League iliyochezwa Alhamisi. Klabu hizo…

Continue Reading....

PSG Kuikabili Man City, Barca vita Dhidi ya Atletico UEFA

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
PSG Kuikabili Man City, Barca vita Dhidi ya Atletico UEFA

Klabu ya Manchester City imepewa miamba wa Ufaransa Paris Saint Germain kwenye robofanali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya droo kufanywa mjini Nyon,…

Continue Reading....

Kloop Arejeshwa Ujerumani kwa Lazima

Posted on: March 19, 2016March 19, 2016 - Yohana Chance
Kloop Arejeshwa Ujerumani kwa Lazima

Kocha wa kilabu ya Liverpool Jurgen Klopp atakutana na timu yake ya zamani Borussia Dortmund katika robofanili ya kombe la Europa. Klopp mwenye umri wa…

Continue Reading....

Imefahamika Wanafunzi Hupata Mimba Kipindi Cha Likizo

Posted on: March 18, 2016 - Yohana Chance
Imefahamika Wanafunzi Hupata Mimba Kipindi Cha Likizo

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Afisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Arusha Blandina Nkini amesema kuwa watoto wengi hupata mimba kipindi cha likizo za mashuleni kutokana na…

Continue Reading....

Mbaya Wa Manchester City UEFA Kujulikana Leo Uswis

Posted on: March 18, 2016 - Yohana Chance
Mbaya Wa Manchester City UEFA Kujulikana Leo Uswis

Timu nane toka nchi tano leo Ijumaa zitatumbukizwa kwenye Chungu kimoja kwenye droo ya kupanga mechi za robo fainali ya Uefa championi Ligi shughuli itakayofanyika…

Continue Reading....

BMT Kuanzisha Semina ya Wadhamini

Posted on: March 18, 2016 - Yohana Chance
BMT Kuanzisha Semina ya Wadhamini

Picha na: Ally Daud – MAELEZO Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo Taifa (BMT) Bw. Mohamed Kiganja akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari