Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 115

Author: Yohana Chance

Yanga Yanukia Mikononi Mwa Waarabu Ligi ya Mabingwa

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yanukia Mikononi Mwa Waarabu Ligi ya Mabingwa

YANGA SC imefanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kuitoa APR ya Rwanda kwa jumla ya mabao 3-2. Yanga…

Continue Reading....

Coastal Union Wachungulia Mstari wa Hatari Baada ya Kichapo

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Coastal Union Wachungulia Mstari wa Hatari Baada ya Kichapo

SIMBA SC imepaa kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa pointi saba zaidi ya wapinzani Azam na Yanga katika mbio za ubingwa, kufuatia…

Continue Reading....

Matokeo Kamili ya Ligi Kuu ya Uingereza soma hapa

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Matokeo Kamili ya Ligi Kuu ya Uingereza soma hapa

Arsenal imefanikiwa kupata ushindi na kufuta machungu ya kuondolewa katika kombe la vilabu bingwa Ulaya pamoja na lile la FA baada ya kuishinda Everton katika…

Continue Reading....

Jinsi Twiga Stars Walivyowafuata Wazimbabwe

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Jinsi Twiga Stars Walivyowafuata Wazimbabwe

Msafara wa watu 25 wa timu ya Taifa ya Wanawake ya mpira wa miguu “Twiga Stars” unatarajiwa kuondoka jana majira ya saa 4 usiku kuelekea…

Continue Reading....

Waamuzi Tanzania Waula CAF

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Waamuzi Tanzania Waula CAF

Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limetoa orodha ya waamuzi watakaochezesha na kusimamia michezo ya Kombe la Shirikisho Afrika (CC), kuwania kufuzu kwa…

Continue Reading....

Rais wa FIFA Infantino Aanza Kuona Matumaini Mapya

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Rais wa FIFA Infantino Aanza Kuona Matumaini Mapya

Rais wa FIFA Gianni Infatino amesema kuwa tayari kumeanza kuonekana dalili za mabadiliko katika shirikisho hilo la kandanda ambalo katika siku za hivi karibuni lilikuwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari