Ulinzi umeimarishwa katika ukumbi ambao matokeo ya uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar yatatangazwa. Mbwa wa ulinzi pia wametumika kukagua eneo hilo, ambalo mwenyekiti wa…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Waziri wa Michezo Nnauye Azindua Mashindano ya Miss Tanzania
Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga akitoa mukhtasari wa mashindano hayo kwa mwaka huu 2016 kwa…
Continue Reading....Rais Dkt Magufuli Atoa Gari la Wagonjwa Wilaya ya Chalinze
Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo akimkabidhi funguo za gari jipya la wagonjwa Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
Continue Reading....Twiga Stars Yang’olewa Kibishi Baada ya Sare
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania Twiga Stars imetupwa nje katika michezo ya kusaka tiketi ya kuwania kuzufu kwa michuano ya kombe la mataifa…
Continue Reading....Kicheko Chatawala Mtaa wa Chamanzi Baada ya Azam Kupata Ushindi
Timu ya Azam FC imefanikiwa kusonga mbele katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika bada ya kuwachapa Bidvest FC kwa jumla ya mabao 7-3 Katika…
Continue Reading....Manchester City YAakubali Yaishe Kuhusu Kulinyakua Kombe Msimu Huu
Klabu ya Manchester United imeshinda debi ya Manchester iliyochezewa katika uwanja wa Etihad kwa kulaza mahasimu wao City 1-0. Bao pekee lilifungwa na chipukizi Marcus…
Continue Reading....