Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 111

Author: Yohana Chance

Isaya Mwita wa Ukawa Aibuka Kidedea Umeya wa Jiji la Dar es Salaam

Posted on: March 22, 2016March 22, 2016 - Yohana Chance
Isaya Mwita wa Ukawa Aibuka Kidedea Umeya wa Jiji la Dar es Salaam

UCHAGUZI wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam ambao umefanyika leo katika ukumbi wa Kareemjee zimeshuhudiwa kuwa mgombea wa vyama vya UKAWA, kupitia chama…

Continue Reading....

Paka Akamatwa na Vitu vya Wizi Soksi 50 na……………

Posted on: March 22, 2016 - Yohana Chance
Paka Akamatwa na Vitu vya Wizi Soksi 50 na……………

Paka mmoja mwizi wakati wa usiku amekuwa akiiba soksi pamoja na nguo za ndani nchini New Zealand. Katika kipindi cha miezi miwili, paka huyo mwenye…

Continue Reading....

Wanafunzi Wasomea Chini Waiomba Serikali Kuboresha Mazingira

Posted on: March 22, 2016 - Yohana Chance
Wanafunzi Wasomea Chini Waiomba Serikali Kuboresha Mazingira

Na: Woinde Shizza, Simanjiro Mpango mkakati wa elimu bure kuanzia darasa la awali mpaka sekondari umeonekana kutonufaisha baadhi ya walengwa katika maeneo ya pembezeno hususani…

Continue Reading....

Picha za Ajari ya Msafara wa TAMISEMI Iliyoua Mkoani Pwani

Posted on: March 22, 2016 - Yohana Chance
Picha za Ajari ya Msafara wa TAMISEMI Iliyoua Mkoani Pwani

Katika Ajali hiyo iliyotokea Mkoani Pwani Ilisababisha kujeruhi watu kumi na vifo vya watu watano ambao ni Halid Hasan, Makame Ally, Hilda Msele, Tunsiime Duncan,…

Continue Reading....

Mchezaji wa Arsenal Ajikuta Njia Panda Mwenyewe

Posted on: March 22, 2016 - Yohana Chance
Mchezaji wa Arsenal Ajikuta Njia Panda Mwenyewe

Nchi ya Uingereza iko mbioni kumzuia nyota wa Arsenal Alex Iwobi asijiunge na timu ya Super Eagles ya Nigeria. Hii ni kutokana na kauli ya…

Continue Reading....

Msafara wa Taifa Stars Kuongozana na Rais Kuelekea Chad

Posted on: March 22, 2016 - Yohana Chance
Msafara wa Taifa Stars Kuongozana na Rais Kuelekea Chad

Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), Ravia Idarus Faina ndiye mkuu wa msafara wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, anatarajiwa kuondoka Dar…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari