Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 11

Author: Yohana Chance

Kila Mtu Ana Deni la Kulipa Hata Kama Hujakopa

Posted on: October 18, 2016 - Yohana Chance
Kila Mtu Ana Deni la Kulipa Hata Kama Hujakopa

Na; Ferdinand Shayo Kila mtu duniani ana deni la kulipa hata kama hudaiwi na benki,vikoba ama mtu binafsi bado duniani inakudai .Inakudai kwasababu umekuja duniani…

Continue Reading....

Vongozi wa Mila Watakiwa Kutatua Migogoro

Posted on: October 18, 2016 - Yohana Chance
Vongozi wa Mila Watakiwa Kutatua Migogoro

Na; Ferdinand Shayo,Simanjiro. Viongozi wa Mila wa jamii ya Wamasai wametakiwa kusuluhisha na kutatua migogoro ya ardhi,maeneo ya malisho pamoja na wizi wa mifugo ili…

Continue Reading....

Liverpool, Manchester United Hakuna Mbabe

Posted on: October 18, 2016 - Yohana Chance
Liverpool, Manchester United Hakuna Mbabe

Mchezo wa kusisimua wa ligi kuu ya soka England umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana. Katika mchezo huo kipindi cha kwanza timu zote zilishambuliana kwa…

Continue Reading....

Didier Drogba Agoma Kuanzia Benchi

Posted on: October 17, 2016October 17, 2016 - Yohana Chance
Didier Drogba Agoma Kuanzia Benchi

Aliyekuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba alikataa kuichezea Montreal Impact baada ya kuambiwa hataanzishwa dhidi ya Toronto ,kulingana na kocha Mauro Biello. Drogba mwenye umri…

Continue Reading....

Asee Diamond Platnumz na Harmonize Wafanya Kweli Majuu

Posted on: October 17, 2016 - Yohana Chance
Asee Diamond Platnumz na Harmonize Wafanya Kweli Majuu

Afrika Mashariki imekuwa na furaha kubwa wikendi kwenye tuzo za kila mwaka za Jarida la mziki Afrika, maarufu kama Afrimma Awards baada ya wasanii wa…

Continue Reading....

Matamshi ya Mourinho Kuchunguzwa na FA

Posted on: October 17, 2016 - Yohana Chance
Matamshi ya Mourinho Kuchunguzwa na FA

Matamshi ya Jose Mourinho kuhusu uteuzi wa mwamuzi anaeshabikia Manchester United Anthony Taylor kwa mchezo wa ligi kuu England kati ya Manchester United dhidi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari