Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 107

Author: Yohana Chance

Mufti wa Tanzania Amuombea Dua Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda

Posted on: March 26, 2016 - Yohana Chance
Mufti wa Tanzania Amuombea Dua Mkuu wa Mkoa wa Dar  Es Salaam Paul Makonda

Mufti wa Tanzania, Abubakar Zubery (wa pili kushoto), akimuombea dua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati), Dar es Salaam leo asubuhi.…

Continue Reading....

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Masatu Kuendesha Kuduma Mkoani Kigoma

Posted on: March 26, 2016 - Yohana Chance
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Masatu Kuendesha Kuduma Mkoani Kigoma

WATU wanaosumbuliwa na maradhi ya Moyo mkoani Kigoma, watapata faraja kubwa mapema Aprili 4 hadi 9, 2016; kufuatia uwepo wa huduma za uchunguzi wa maradhi…

Continue Reading....

Tanzania na Saudi Arabia Zasaini Mkataba wa Ushirikiano Katika Masuala ya Uchumi

Posted on: March 25, 2016March 25, 2016 - Yohana Chance
Tanzania na Saudi Arabia Zasaini Mkataba wa Ushirikiano Katika Masuala ya Uchumi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia,…

Continue Reading....

Rais Dkt Magufuli Ashiriki Ibada ya Ijumaa Kuu

Posted on: March 25, 2016March 25, 2016 - Yohana Chance
Rais Dkt Magufuli Ashiriki Ibada ya Ijumaa Kuu

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro akiongoza Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam march 25, 2016 Rais…

Continue Reading....

Matukio Katika Picha Jinsi Rais Wa Zanzibar Alivyoapishwa

Posted on: March 24, 2016March 24, 2016 - Yohana Chance
Matukio Katika Picha Jinsi Rais Wa Zanzibar Alivyoapishwa

RAIS Mteule wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein ameapishwa leo kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar. Kuapishwa kwa Dk Shein kunamfanya apate fursa nyingine ya…

Continue Reading....

Taifa Stars Kulejea Leo, Baada ya Kuilaza Chad

Posted on: March 24, 2016 - Yohana Chance
Taifa Stars Kulejea Leo, Baada ya Kuilaza Chad

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kinatarajiwa kuwasili leo saa 8 usiku katika uwanja wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari