Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 106

Author: Yohana Chance

Tiketi Mchezo wa Taifa Stars na Chad Zimeanza Kuuzwa

Posted on: March 27, 2016 - Yohana Chance
Tiketi Mchezo wa Taifa Stars na Chad Zimeanza Kuuzwa

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kesho inashuka dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam…

Continue Reading....

Huyu Dogo Anatisha Video Zake Zatazamwa Mara Bilioni 10

Posted on: March 27, 2016 - Yohana Chance
Huyu Dogo Anatisha Video Zake Zatazamwa Mara Bilioni 10

Mwanamuziki Justin Bieber amevunja rekodi ya Vevo kwa video yake kutazamwa mara bilioni 10. Msanii huyo wa Canada ambaye alitoa kibao kipya Purpose in Novemba…

Continue Reading....

Wanariadha Wala Sabuni Eti Wakizani Chakula

Posted on: March 27, 2016 - Yohana Chance
Wanariadha Wala Sabuni Eti Wakizani Chakula

Wanariadha waliokuwa wanakimbia mbio ndefu za marathon walijipata wamekula sabuni baada ya kudhania kwamba zilikuwa chakula kutokana na kukosa kuelewa lugha ya kiingereza. Takriban wanariadha…

Continue Reading....

Uvuvi Haramu Ziwa Victoria Tishio Kwa Hifadhi ya Saa Nane

Posted on: March 26, 2016 - Yohana Chance
Uvuvi Haramu Ziwa Victoria Tishio Kwa Hifadhi ya Saa Nane

Na Ferdinand Shayo,Mwanza . Uvuvi haramu wa kutumia sumu kali,pamoja na neti umekua ukitishia uhifadhi katika hifadhi ya Taifa ya Saa Nane na Lubondo ambazo…

Continue Reading....

Usiue Ndoto Zako Kwasababu ya Kupenda Pesa

Posted on: March 26, 2016 - Yohana Chance
Usiue Ndoto Zako Kwasababu ya Kupenda Pesa

Na; Ferdinand Shayo,Arusha. Kila mtu duniani ana ndoto haijalishi ni ndoto gani unayo ,ndoto uliyonayo ina thamani kubwa kuliko fedha kuliko kitu chochote kile,Ndoto uliyonayo…

Continue Reading....

Mabadiliko ya Ratiba Shughuli za Kamati za Bunge

Posted on: March 26, 2016 - Yohana Chance
Mabadiliko ya Ratiba Shughuli za Kamati za Bunge

PRESS RELEASE – MABADILIKO YA SHUGHULI ZA KAMATI (3)-2

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari