Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 105

Author: Yohana Chance

Waliokata Tiketi Mchezo wa Chad Kurudishiwa Mpunga Wao

Posted on: March 28, 2016 - Yohana Chance
Waliokata Tiketi Mchezo wa Chad Kurudishiwa Mpunga Wao

Mashabiki wa soka waliokuwa wamenunua tiketi za mechi kati ya timu ya taifa ya Tanzania na Chad ambayo imetibuka watarejeshewa fedha zao. Rais wa Shirikisho…

Continue Reading....

Timu ya Chad Yaingia Mitini, Ushindi wa Stars Waota Mbawa

Posted on: March 27, 2016 - Yohana Chance
Timu ya Chad Yaingia Mitini, Ushindi wa Stars Waota Mbawa

Timu ya Taifa ya Chad ‘Les Sao’ imejiondoa katika michuano ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2017 nchini Gabon. Taarifa…

Continue Reading....

Ugonjwa wa Kansa Wasababisha Kifo cha Kipa wa Simba

Posted on: March 27, 2016March 27, 2016 - Yohana Chance
Ugonjwa wa Kansa Wasababisha Kifo cha Kipa wa Simba

Baada ya Ulimwengu wa soka kupata msiba siku kadhaa zilizopita baada ya kifo cha Johan Cruyff, wana afrika mashariki tuna Msiba mwingine. – golikipa wa…

Continue Reading....

Rais Magufuli Ahudhuria Ibada ya Pasaka Kanisa la KKKT la Azania Front

Posted on: March 27, 2016 - Yohana Chance
Rais  Magufuli Ahudhuria Ibada ya Pasaka Kanisa la KKKT la Azania Front

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Magufuli wakishiriki na waumini wengine Ibada ya Pasaka katika Kanisa…

Continue Reading....

Julio Amaliza Kazi yake Asubilia Atakayejitokeza

Posted on: March 27, 2016 - Yohana Chance
Julio Amaliza Kazi yake Asubilia Atakayejitokeza

Michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) ngazi ya robo fainali imeendelea jana kwa mchezo mmoja, ambapo Mwadui FC wameibuka na ushindi wa…

Continue Reading....

TFF Yatupa Rungu KRFA, Kuondoa Majibu

Posted on: March 27, 2016 - Yohana Chance
TFF Yatupa Rungu KRFA, Kuondoa Majibu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekiagiza Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Katavi (KRFA) kufanya uchunguzi juu ya matokeo ya kumpata bingwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari