Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein jana amemuapisha Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa Pili wa Rais…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Serikali Yajipanga Kusaidia Wakulima Dhidi ya Mabadiliko ya Tabia ya Nchi
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imejipanga kuhakikisha inawasaidia wakulima kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi ambayo yanaonekana kuendelea kuikabili…
Continue Reading....Messi Azua Balaa Nchini Misri Baada ya…….
Hatua ya mchezaji maarufu wa soka duniani Lionel Messi kutoa viatu vyake viuzwe kusaidia watu wasiojiweza imeibua mjadala mkali nchini Misri. Messi alifanya hivyo akidhani…
Continue Reading....Baada ya Kichapo Roy Hodgson Awajia Juu Wachezaji
Kocha wa wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson amesikitishwa na kikosi chake kukosa ubunifu baada ya kufungwa 2-1 Uholanzi. Kipigo hicho kimekuja baada…
Continue Reading....Valencia Yamtimua Gary Neville Kwa Matokeo Mabovu
Beki wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Gary Neville amefutwa kazi na klabu ya Valencia ya Uhispania baada…
Continue Reading....Kocha wa Aston Villa Asusia Timu
Kocha wa kilabu ya Aston Villa Remi Garde ameondoka katika kilabu hiyo kupitia maelewano baada ya kukinoa kikosi hicho kwa siku 147 katika kilabu hiyo…
Continue Reading....