Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 101

Author: Yohana Chance

Ferguson Aitabilia Leicester City Kuwa Mabingwa

Posted on: April 1, 2016 - Yohana Chance
Ferguson Aitabilia Leicester City Kuwa Mabingwa

Meneja wa zamani wa Man United, Sir Alex Ferguson anaamini Leicester City wanastahili kutawazwa mabingwa wa Ligi Kuu msimu huu. Leicester wamekuwa na msimu mzuri…

Continue Reading....

Eboue Atiwa Kitanzini Mwaka Mmoja na FIFA

Posted on: April 1, 2016 - Yohana Chance
Eboue Atiwa Kitanzini Mwaka Mmoja na FIFA

Mchezaji wa zamani wa Arsenal ambaye amekaa kwa muda wa siku 22 kwenye timu yake ya Sunderland na kufukuzwa kazi. Eboue aliweka mezan mkataba wa…

Continue Reading....

Ugaidi Unavyoitesa Ufaransa Katika Maandalizi ya Mashindano ya Euro

Posted on: April 1, 2016 - Yohana Chance
Ugaidi Unavyoitesa Ufaransa Katika Maandalizi ya Mashindano ya Euro

Mashambulizi ya Paris na Brussels, yameibua maswali kuhusiana na maandalizi ya dimba la Kombe la Mataifa ya Ulaya 2016. Waziri Mkuu wa Ufaransa Manuel Valls…

Continue Reading....

Yanga, Azam Watinga Nusu Fainali Kombe la Shirikisho

Posted on: April 1, 2016 - Yohana Chance
Yanga, Azam Watinga Nusu Fainali Kombe la Shirikisho

Timu za Yanga, na Azam FC za Dar es Salaaam, zimefanikiwa kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho. Timu hizo zimefanikiwa kuingia hatua…

Continue Reading....

Wabunge watatu wafikishwa Mahakamani

Posted on: March 31, 2016 - Yohana Chance
Wabunge watatu wafikishwa Mahakamani

Tuhuma za Rushwa zawafikisha Wabunge watatu Mahakamani Kisutu Dar es salaam leo,wabunge hao ni Victor Mwambalaswa wa Lupa (CCM), Kangi Lugola wa Mwibara (CCM) na…

Continue Reading....

Arusha Sc Inakaribia Kutambulishwa, Kaa Chonjo

Posted on: March 31, 2016March 31, 2016 - Yohana Chance
Arusha Sc Inakaribia Kutambulishwa, Kaa Chonjo

Wakiwa Katika ofisi ya Meya wa Jiji la Arusha kwaajili ya zoezi la umezinduzi wa Nembo ya Timu ya Michezo ya Arusha City sports Club…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari