Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 100

Author: Yohana Chance

Ni Bonge la Mechi Ambalo Huitaji Kusimuliwa

Posted on: April 2, 2016April 2, 2016 - Yohana Chance
Ni Bonge la Mechi Ambalo Huitaji Kusimuliwa

Leo nchini Uhispania kuna Bonge la Mechi la mahasimu wawili wakubwa katika Ligi kuu ya Nchi hiyo yaani Barcelona na Real Madrid, utapigwa kunako dimba…

Continue Reading....

Rais wa FIFA Atua Amerika ya Kusini, Asisitiza Ushirikiano

Posted on: April 1, 2016 - Yohana Chance
Rais wa FIFA Atua Amerika ya Kusini, Asisitiza Ushirikiano

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA Gianni Infantino yuko nchini Colombia katika ziara yake ya Amerika Kusini Na mara tu baada ya…

Continue Reading....

Kamati ya TFF Kufanya Maamuzi Magumu

Posted on: April 1, 2016 - Yohana Chance
Kamati ya TFF Kufanya Maamuzi Magumu

Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kitaendelea kesho Jumamosi saa 3 asubuhi katika ofisi za TFF zilizopo Karume,…

Continue Reading....

Diego Costa Karikologa Tena, Apigwa Faini

Posted on: April 1, 2016April 1, 2016 - Yohana Chance
Diego Costa Karikologa Tena, Apigwa Faini

Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Diego Costa ameongezewa adhabu ya mechi ambazo hataruhusiwa kucheza pamoja na kutozwa faini zaidi kwa sababu ya utovu wa nidhamu.…

Continue Reading....

Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza Wiki hii na Msimamo Soma hapa

Posted on: April 1, 2016 - Yohana Chance
Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza Wiki hii na Msimamo Soma hapa

Ligi Kuu ya Uingereza itarejelewa wikendi hii baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa Jumamosi kukiwa kumeratibiwa mechi nane. Aston Villa watatanguliza kwa kuwakaribisha Chelsea…

Continue Reading....

Kuicheki Serengeti Boys ni Buku Mbili tu dhidi ya Misri

Posted on: April 1, 2016April 1, 2016 - Yohana Chance
Kuicheki Serengeti Boys ni Buku Mbili tu dhidi ya Misri

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kiingilio cha shilingi elfu mbili tu (2,000) ndio kitakachotumika katika mchezo wa kesho Jumamosi kati ya Serengeti…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari