Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 58

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

PAMOJA NA TUHUMA ZA KUCHAKACHUA,MUSEVENI ATANGAZWA MSHINDI!

Posted on: February 21, 2011April 16, 2014 - Rungwe Jr.
PAMOJA NA TUHUMA ZA KUCHAKACHUA,MUSEVENI ATANGAZWA MSHINDI!

Tangazo rasmi limetolewa kuthibitisha kuwa Rais Museveni wa Uganda ndiye mshindi katika uchaguzi uliofanyika Ijumaa nchini humo. Tume ya uchaguzi ilitangaza kuwa Yoweri Museveni alishinda…

Continue Reading....

UUNGWANA NI VITENDO: VODACOM YAFARIJI WAHANGA WA MABOMU!

Posted on: February 18, 2011 - Rungwe Jr.
UUNGWANA NI VITENDO: VODACOM YAFARIJI WAHANGA WA MABOMU!

 Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Foundation Bi Mwamvita Makamba pamoja na Meneja wa mfuko huo Yessaya Mwakifulefule wakishusha na kuwakabidhi vyakula mbalimbali wafanyakazi wa Red…

Continue Reading....

BOMU LA CHADEMA KWA PINDA HADHARANI.

Posted on: February 18, 2011April 16, 2014 - Rungwe Jr.
BOMU LA CHADEMA KWA PINDA HADHARANI.

SAKATA la vurugu na mauaji yaliyotokana na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha linaelekea kumuelemea Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Hiyo inatokana…

Continue Reading....

2011 TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT AWARDS TO TAKE PLACE ON THE INTERNATIONAL WOMENS DAY.

Posted on: January 19, 2011April 22, 2014 - Rungwe Jr.
2011 TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT AWARDS TO TAKE PLACE ON THE INTERNATIONAL WOMENS DAY.

  Frontline Porter Novelli, a local PR and communications firm, today launched the Tanzania Women of Achievement Awards that is due to take place on…

Continue Reading....

10 Wauawa kwenye Ghasia Mjini Arusha, Tanzania.

Posted on: January 6, 2011April 22, 2014 - Rungwe Jr.
10 Wauawa kwenye Ghasia Mjini Arusha, Tanzania.

  Watu wasiopungua kumi wameripotiwa kuuwawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mji wa Arusha Tanzania, kwenye makabiliano baina ya Polisi na wafuasi wa chama cha…

Continue Reading....

TIDO MHANDO ATEMWA TBC

Posted on: December 17, 2010December 17, 2010 - Rungwe Jr.
TIDO MHANDO ATEMWA TBC

Sadick Mtulya na Patricia Kimelemeta BAADA ya kufanya kazi nzuri ya kuboresha matangazo na uendeshaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), serikali imeamua kuachana…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari