Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na katibu mkuu wa zamani wa Umoja Wa Mataifa, Kofi Annan Ikulu jijini Dar Es Salaam. Source: Michuzi Blog
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
HUYU NI YULE MH.KOMBA ANAYELALA BUNGENI?

Yaani Mh. Komba angekuwa anafuatilia miswada Bungeni kwa umakini kama anavyofuatilia hapo…..Mbona tungekuwa mbali. Kuweka kumbukumbu sahihi, embu angalia picha ya chini jinsi Mheshimiwa huyu…
Continue Reading....MAKAMU WA RAIS AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. DK. Mohamed Gharib Bilal akiwa katika vazi la Mgolole la heshima na uongozi la…
Continue Reading....NANI BADO HAJAENDA KUMUONA ‘BABU’ LOLIONDO?

Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile akimpa dawa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) William Lukuvi na Rosemary Nyerere baada ya Lukuvi…
Continue Reading....CUF YASISITIZA MAANDAMANO YA CHADEMA NI UCHOCHEZI

Na Mwandishi wetu, Tanga. CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewaasa watanzania kuepuka kushiriki maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa ni ya uchochezi yenye…
Continue Reading....TUNYWE VIKOMBE BILA KUPOTEZA MWELEKEO!

Ni siku chache tu zimepita toka nimsikie Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Ndugu James Mbatia akielezea hofu na masikitiko yake juu ya hili suala ninaloita kupoteza…
Continue Reading....