Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 53

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

JESHI LA POLISI ARUSHA KATIKA KASHFA!

Posted on: June 14, 2011June 14, 2011 - Rungwe Jr.
JESHI LA POLISI ARUSHA KATIKA KASHFA!

Na Janeth Mushi, TheHabari, Arusha JESHI la polisi mkoa wa  Arusha limekumbwa na kashfa nzito mara baada ya kuficha majina ya watu watatu waliouawa baada…

Continue Reading....

Rais Kikwete akutana na Mh. Hillary Clinton Ikulu Dar!

Posted on: June 13, 2011June 14, 2011 - Rungwe Jr.
Rais Kikwete akutana na Mh. Hillary Clinton Ikulu Dar!

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mheshimiwa Hillary Clinton mara baada ya kufanya mazungumzo ya kiserikali huko Ikulu tarehe 13.6.2011 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo ya…

Continue Reading....

Dr. Shein asema dawa ya mfumuko wa bei ni kuimarisha sekta ya kilimo

Posted on: June 13, 2011June 13, 2011 - Rungwe Jr.
Dr. Shein asema dawa ya mfumuko wa bei ni kuimarisha sekta ya kilimo

 Zanzibar                                                                                                 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa…

Continue Reading....

Mh. Pinda akutana na naibu waziri mkuu wa Ireland Dodoma leo.

Posted on: June 10, 2011June 11, 2011 - Rungwe Jr.
Mh. Pinda akutana na naibu waziri mkuu wa Ireland Dodoma leo.

Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Ireland Mhe.Eamon Gilmore (T.D) alipokutana  naye…

Continue Reading....

Tamasha La Jinsia 2011 Laja!

Posted on: June 10, 2011 - Rungwe Jr.
Tamasha La Jinsia 2011 Laja!

    Na Edson Kamukara MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kushirikiana na mtandao wa mashirika watetezi wa haki za binadamu,usawa wa kijinsia na ukombozi…

Continue Reading....

Zanzibar, jina kubwa!

Posted on: May 30, 2011May 30, 2011 - Rungwe Jr.
Zanzibar, jina kubwa!

Na Rungwe Jr. Watanzania tunazidi kufarijika tunapoona majina ya nchi zetu yanatumika maeneo haya ya ughaibuni, kwa watu kufanya biashara na kujikimu maisha yao. Pamoja na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari