Na Boniface Wambura, Lagos Timu ya U23 imewasili salama hapa saa 6.30 mchana kwa ndege ya Kenya Airways kabla ya kuunganisha ndege ya Concord Airlines…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Press Conference yahairishwa!

Press Conference iliyopangwa kufanyika leo tarehe 17 Juni, 2011 katika Ofisi za Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imepangwa kufanyika kesho tarehe 18…
Continue Reading....UTEUZI WA NAIBU GAVANA BENKI KUU YA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Daktari Natu El-Maamry Mwamba kuwa Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania.…
Continue Reading....Rais Kikwete atolea maelezo tatizo la ajira.

Upungufu wa ajira hususan miongoni mwa vijana ni changamoto kubwa kwa nchi zinazoendelea kwa sababu ya uchumi wake kuwa mdogo na kukua polepole. Rais…
Continue Reading....UFAFANUZI KUHUSU UCHAGUZI WA VILLA SQUAD FOOTBALL CLUB (VILLA)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 14 JUNI 2011 1. UTANGULIZI. Hivi karibuni kumekuwa na maelezo mbalimbali katika vyombo vya habari kuhusu uchaguzi wa…
Continue Reading....WACHAMBUAJI PAMBA WAGOMA KUNUNUA PAMBA!

Na Baltazar Mashaka, TheHabari, MWANZA. BAADHI ya wachambuaji wa pamba mkoani hapa wametishia kugoma kununua pamba kupinga kukatwa shilingi 100 kwa ajili ya kuchangia Mfuko…
Continue Reading....