Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 50

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Mh. Kikwete in Malabo for AU Summit

Posted on: July 1, 2011 - Rungwe Jr.
Mh. Kikwete in Malabo for AU Summit

Malabo, Equatorial Guinea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Juni 30, 2011, alikuwa miongoni mwa viongozi wa Serikali…

Continue Reading....

Marando to probe Arusha Chadema – CCM accord

Posted on: July 1, 2011 - Rungwe Jr.
Marando to probe Arusha Chadema – CCM accord

BY JAMES KANDOYA CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Central Committee (CHADEMA-CC) has appointed a team of four people to investigate corruption scandal surrounding what was…

Continue Reading....

Marekani yawaumbua Sitta, Mwakyembe yawasafisha Rostam, Lowassa

Posted on: July 1, 2011 - Rungwe Jr.
Marekani yawaumbua Sitta, Mwakyembe yawasafisha Rostam, Lowassa

Na Daniel T. Kamna, Dar es Salaam WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, alifanya ziara hapa Tanzania katika shughuli zake mbalimbali nchini…

Continue Reading....

Shibuda , mbowe hapatoshi

Posted on: July 1, 2011 - Rungwe Jr.
Shibuda , mbowe hapatoshi

MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda (Chadema), sasa ni dhahiri kwamba haafikiani na mikakati ya chama hicho. Wakati viongozi wakuu wa Chadema wakiungana na wabunge…

Continue Reading....

Pres. Kikwete meets Bill Gates in Dar!

Posted on: June 29, 2011June 29, 2011 - Rungwe Jr.
Pres. Kikwete meets Bill Gates in Dar!

President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (R) meets with the Co-Chair of Bill and Melinda Getes Foundation, Bill Gates at State House in dare s Salaam…

Continue Reading....

Gov. Blogojevich apatikana na hatia katika kesi ya rushwa!

Posted on: June 27, 2011June 28, 2011 - Rungwe Jr.
Gov. Blogojevich apatikana na hatia katika kesi ya rushwa!

Yule Gavana aliyejiudhuru kutoka jimbo la Illinois hapa Marekani, Rod Blagojevich amepatikana na hatia huko Chicago katika kesi ya  rushwa iliyokuwa inamkabili. Mkuu huyo anayefahamika zaidi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari