Picha zinaonyesha magari (mara nyingi Daladala) yakiendeshwa upande wa gari zitokazo upande wa pili, maarufu kama “Kutanua”! Tabia hii imekuwa ikisababisha misongamano, isiyokuwa ya lazima…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Ujumbe wa Leo!
Tumegundua hizi jumbe za mjini Dar huwa zinajibishana kwasababu kuna ujumbe mmoja (kwenye Bodaboda) tuliweka hapa ulikuwa unasema “Usije Mjini” na huu wa leo kwenye…
Continue Reading....Wito Kwa Kina Baba Kuondoa Dhana Potofu!
Maisha ya sasa kushirikiana kama picha zinavyoonyesha hapo juu, mke na mume kwakishirikiana kuuza vitumbua. Mke akichoma na mume akiwa anatoa huduma kwa wateja, ambao…
Continue Reading....Ujumbe wa Leo!
Ujumbe upo wazi kabisa “Kama Jela Shule, Mpeleke Mwanao” Dar kweli Ina mambo! Picha na Mpiga Picha Maalum wa Thehabari, Dar
Continue Reading....Msomaji Hachagui Shule, na Mchagua Shule Si Msomaji!
Hii shule ya chekechea ipo Goba jijini Dar, na taarifa tulizozipata ni kwamba Ina wanafunzi 50. Picha na Mpiga picha wetu Maalum.
Continue Reading....Ujumbe Wa Leo!
Hapo ni Kinondoni Mkwajuni, dereva wa Bodaboda, alinaswa na Mpiga picha wetu akiwa amelala juu ya pikipiki yake, bila shaka baada ya kuchoka kusubiri abiria…
Continue Reading....