Na Salva Rweyemamu Tanzania imeombwa kuisaidia Gabon kubuni, kuanzisha na kusimamia mitaala inayofaa kuanzisha ufundishaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za nchi hiyo…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Basketball News!!…Alpha Kisusi awarded scholarship to Canada

Alpha Kisusi, 19 years old boy, Basketballer currently playing for Vijana Basketball Club, Most Valuable Player (MVP) 2011 at our National Basketball League (NBL),…
Continue Reading....Umoja wa wake wa marais wa Afrika watakiwa kupunguza vifo vya kinamama wajawazito na watoto

Na Anna Nkinda – Malabo, Equatorial Guinea Muungano wa Wake wa Marais wa Afrika wa Kupambana na Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (OAFLA) umetakiwa kuhakikisha…
Continue Reading....Bunduki haiwezi kumaliza matatizo yetu – JK

Malabo, Equatorial Guinea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameziambia Sudan na Sudan Kusini kuwa bunduki haiwezi kutoa majawabu ya…
Continue Reading....Kikwete:Ukosefu wa ajira kwa vijana wa Afrika ni bomu linalosubiri kulipuka!

Malabo, Equatorial Guinea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ukosefu mkubwa wa ajira na nafasi za kujiendeleza kwa…
Continue Reading....Rais Kikwete aombwa kuendelea kuongoza ALMA

Malabo, Equatorial Guinea Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wamemwomba Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuendelea kuongoza umoja wa wakuu hao unaopambana na…
Continue Reading....