Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 47

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, SENDEKA, DK. MWAKYEMBE NA PROF MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU

Posted on: July 17, 2011 - Rungwe Jr.
MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, SENDEKA, DK. MWAKYEMBE NA PROF MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU

Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Sitta na Nyarandu wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa…

Continue Reading....

Mbunge wa CHADEMA amlipua Sitta

Posted on: July 16, 2011 - Rungwe Jr.
Mbunge wa CHADEMA amlipua Sitta

Na Debora Sanja, Dodoma SPIKA wa Bunge mstaafu, Samuel Sita, amelipuliwa bungeni baada ya Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, kuhoji uhalali wake…

Continue Reading....

Lowassa: Nasikitika Rostam kujiuzulu

Posted on: July 15, 2011July 15, 2011 - Rungwe Jr.
Lowassa: Nasikitika Rostam kujiuzulu

• Aliumia zaidi wananchi walipolia • Asema muda ukifika atasema cha kufanya • Chadema watamba kushinda Igunga Na Maregesi Paul, Dodoma Babu sikutarajia kama hali…

Continue Reading....

Makamba na Shekifu, uso kwa uso Bungeni!

Posted on: July 15, 2011July 15, 2011 - Rungwe Jr.
Makamba na Shekifu, uso kwa uso Bungeni!

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu  ya Bunge ya  Nishati na Madini, Januari  Makamba akizungumza jambo na kusalimiana na Mbunge wa Jimbo la Lushoto Henry Shekifu  mara…

Continue Reading....

Dr Slaa fails to prove

Posted on: July 14, 2011 - Rungwe Jr.
Dr Slaa fails to prove

By Harrieth Mandari All indicators show Dr Slaa has backed down on his false allegations on Andrew Chenge by failing to deliver relevant documents that…

Continue Reading....

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 3 WA BARAZA LA WAKUU WA VYUO VIKUU HURIA AFRIKA

Posted on: July 14, 2011July 14, 2011 - Rungwe Jr.
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 3 WA BARAZA LA WAKUU WA VYUO VIKUU HURIA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mhadhiri Chuo Kikuu Huria cha Zanzibar Tanzania, Grace Kissassi, wakati…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari