Zitto akumbushia vita ya Kagera Kilango: Serikali ichukue hatua Makamba: Itasababisha vurugu Mnyika: Kuna rushwa kubwa WAKATI kukiwa na taarifa za kuwapo mkono wa baadhi…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Mapenzi ni kuvumiliana!
Naam, Wahenga waliwahi kusema “Mapenzi ni kuvumiliana.” Ni neema iliyoje kufika fainali ukiwa bado umemshika mkono umpendaye kama tuonavyo wazee hao pichani. Picha na mpiga picha maalum…
Continue Reading....Rais Kikwete amuaga Rais wa Somalia
Rais wa Jamhuri ya Somalia, Mheshimiwa Sheikh Sharif Sheikh Ahmed, ameondoka nchini leo, Jumatano, Agosti 10, 2011 mwishoni mwa ziara yake ya siku mbili ya…
Continue Reading....Kikombe cha Babu chashindwa kutibu Ukimwi!

Na Paul Sarwatt, Arusha Waliokunywa wapimwa baada ya siku 90 Matokeo yaonyesha bado wana virusi Wailaumu Serikali ‘kubariki’ kikombe cha Babu MACHI 20 mwaka huu,…
Continue Reading....Waheshimiwa Sitta na Mrema vipi tena?

Hii ni hatari sana kwa maendeleo ya taifa!!!
Continue Reading....Maonyesho ya Nane Nane Dodoma!

Afisa habari na uhusiano wa Mfuko wa Pensheni (PPF) Edwin Kyungu akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Kidato cha Tatu wa Shule ya Sekondari Wella…
Continue Reading....