September 3, siku ambayo watanzania wa North Carolina watakuwa kwenye shamra shamra za siku nzima. Unashauri wa uitengee ngoma yake siku hii ambayo itaanza asubuhi…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Timu ya Soka ya ‘Bongo Starz’ yaendelea na mazoezi! Pt 1
Na Muandishi wetu, Los Angeles Timu ya Watanzania waishio kusini mwa California jana Jumamosi walikutana kwa mara nyingine tena, kwa ajili ya mazoezi kabla ya…
Continue Reading....Waweza bahatisha kinachoendelea hapo?
Picha na Mpiga picha maalum wa Thehabari.
Continue Reading....kitabu ” UKOMBOZI WA PILI WA TAIFA LETU” bado kipo mtaani.
kwa mawasiliano zaidi ya jinsi ya kupata kitabu hiki, piga simu no, 0655025609 0786025609 kisandudp@yahoo.com
Continue Reading....‘Wadau tuchangamkie Scholarship za Chuo cha Sheffield, Uingereza’
Taariza zilizotufikia hapa dev.kisakuzi.com ni kwamba chuo cha Sheffield kinazo Scholarship kwa ajili ya wanafunzi wa Kitanzania walioonyesha uhodari mkubwa katika masomo yao, na wana dhamiria kujiunga…
Continue Reading....Kikwete Kigeugeu
Na Saed Kubenea -Anauma na kupuliza -‘Auchuna’ kuhusu ufisadi RAIS Jakaya Kikwete sasa ana sura mbili. Akiwa serikalini anauma. Akiwa kwenye chama chake anapuliza. Wachunguzi…
Continue Reading....