Na Muandishi wetu, Los Angeles Timu ya Soka ya Watanzania waishio Los Angeles, “Bongo Starz” walikutana kwa mara nyingine tena jana siku ya Jumamosi kwa…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Ikulu yatolea maelezo sakata la Jairo
TAARIFA YA UFAFANUZI Tarehe 21 Julai, mwaka huu, 2011, Katibu Mkuu Kiongozi Bwana Phillemon Luhanjo, akitumia madaraka yake ya Mamlaka ya Nidhamu ya Watumishi wa…
Continue Reading....Maonesho ya sita ya wajasiriamali wadogo Kanda ya Kusini
MAONESHO ya wajasiriamali wadogo na wakati katika sekta ya Viwanda yanayoratibiwa na Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) Kanda ya Kusini kufanyika mkoani Ruvuma mwaka…
Continue Reading....Madaktari: Tiba ya Babu imeleta maafa
Chama cha Madaktari nchini (MAT) kimesema tiba inayotolewa na Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwasapila, kwa njia ya…
Continue Reading....Timu ya Soka ya ‘Bongo Starz’ yaendelea na mazoezi! Pt 2
Na Mwandishi Wetu, Los Angeles TIMU ya Watanzania waishio Kusini mwa California jana Jumamosi walikutana kwa mara nyingine tena, kwa ajili ya mazoezi kabla ya…
Continue Reading....