Wewe kama Mwafrika unafanya nini kumnusuru Mwafrika mwenzako?
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN
Na Boniphace Makene Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal ametoa mhadhara kuhusu changamoto za kisayansi katika maadhimisho ya…
Continue Reading....MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Watanzania waishio nchini Sweden, baada ya kumalizika kwa…
Continue Reading....MECHI YA TAIFA STARS NA MOROCCO YAHAMISHWA
Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco (FRMF) limehamisha mechi ya kundi D ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya…
Continue Reading....Ndesamburo, mchumba wa Dk. Slaa wakwamisha kesi
Na Janeth Mushi, Arusha KESI inayowakabili baadhi ya viongozi wa ngazi ya juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Mwenyekiti wa Chama hicho…
Continue Reading....