Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Ngoma Africa band waanza kwa kasi kuwanasa washabiki nchini GHANA
JINAMIZI LA BONGO DANSI LIMEANZA KUTISHA NCHINI GHANA ! Vyombo vya habari nchini Ghana vimeitaja Ngoma Africa kuwa bendi bora ya kiafrika barani…
Continue Reading....Wanachama wa UWT watakiwa kuwa wavumilivu
Na Anna Nkinda – Maelezo, Tarime WANACHAMA wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametakiwa kuwa wavumilivu, na upendo, uzalendo kwa Taifa, utayari wa kuthubutu na…
Continue Reading....The Margaret McNamara Memorial Fund 2012-13 for Female Students studying in the US and Canada
Call for scholarship applications for students from developing countries who are currently studying in the United States or Canada. Study Subject(s):Various Course Level:Graduate Scholarship…
Continue Reading....Leadership and Advocacy for Women in Africa (LAWA) Fellowship Program at Georgetown University Law Center, 2012-2013 USA
Masters Fellowship Program in the field of Law for the applicants of Africa Women at Georgetown University Law Center, 2012-2013 USA Study Subject(s):Law Course…
Continue Reading....